Institute of Languages (INSTL)
Browse by
Recent Submissions
-
Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''.
(Kabale University, 2022)Mradi huu wa tamthilia umepewa anwani ya " kiza cha mchana " kimaksudi. K wa kawaida kiza hujitokeza wakati wa usiku lakini siyo wakati wa mchana kwa hivyo kiza kikijitokeza mchana kuna maana kwamba kuna kitu ambacho hakiko ... -
Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’.
(Kabale University, 2022)Kudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na ... -
Dhima ya Methali Ktika Ukuzaji wa Nidhamu Baina ya Wanajamii Kijijini Bungandaro, Wila Yani Rubanda Nchini Uganda.
(Kabale University, 2022)Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza dhirna ya methali katika ukuzaji wa nidhamu baina ya wanajamii kijijini Bungandaro, wilayani Rubanda nchini Uganda. Dhima za methali katika ukuzaji wa nidhamu zilichunguzwa katika ... -
Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale.
(Kabale University, 2021)Kutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari ... -
Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
(2021)Uchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo ... -
Learners' Perception of English Language Learning in Universal Secondary Schools in Kisoro District.
(Kabale University, 2021)The study investigated learners' perception of English language learning in secondary schools in Kisoro Municipality. It was guided by objectives which were to establish learners' positive perception of English learning ... -
Dhia Ya Methali Katika Ukuzaji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini Bungandaro, Wila Y Ani Rubanda Nchini Uganda
(Kabale University, 2021)Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza dhima ya methali katika ukuzaji wa nidhamu baina ya wanajamii kijijini Bungandaro, wilayani Rubanda nchini Uganda. Dhima za methali katika ukuzaji wa nidhamu zilichunguzwa katika ...