Kabale University Digital Repository (KAB-DR)

KAB-DR preserves research output from the Kabale University community

 

Communities in KAB-DR

Select a community to browse its collections.

Now showing 1 - 4 of 4
  • The collections in this Community are comprised of Indigenous Knowledge emanating from communities in the neighborhoods of Kabale University. These are communities in the great Kigezi Region.
  • This community holds students (Graduates) dissertation and Thesis, Staff field reports, Students (undergraduate) study reports
  • The community includes research article publications in journals both local and international, conference papers in proceedings and reports, abstracts and reviews by Kabale University Staff and Students
  • This community archives publications by individual University Staff and Students, Faculty and Departmental Publications (i.e. University Journal, Newsletters, University official publications etc.), groups and Association operating in the University (i.e. Convocation and Staff and Students Association}

Recent Submissions

ItemEmbargo
Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
(Kabale University, 2024) Nsimamukama, Mariseera
Mada kuu ya utafiti huu ilikuwa Uchanganuzi wa athari za kifonolojia zinazojidhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza athari za kifonolojia zinazodhihirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika jamii ya Wanyankore. Sampuli ya utafiti huu ilikuwa ya watu sitini (60). Wanafunzi hamsini na walimu kumi kutoka kwa shule teule. Njia zilizotumiwa kukusanya data ni mahojiano kwa walimu wa Kiswahili na usimuliaji wa hadithi kwa wanafunzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi matatu na matokeo ya lengo la kwanza yalionyesha kwamba athari za Kifonolojia zinazojidhirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Kigeni katika jamii ya Wanyankore ni uchopekaji, ubadilishanaji wa fonimu na udoshaji herufi. Matokeo ya lengo la pili yalionyesha kuwa sababu kubwa ya kujitokeza kwa athari za Kifonolojia hizo ni mwingiliano wa lugha ya kwanza (Kinyankore) na lugha ya pili (Kiswahili). Matokeo ya lengo la tatu yalionyesha kwamba suluhisho kubwa la athari hizi ni kuwafundisha wanafunzi Kiswahili tangu utotoni ili wapate umilisi tosha. Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine sifanywe kuhusu athari za kifonolojia Kwa kuangazia viwango vingine vya kiisimu ili suala hili lieleweke zaidi.
ItemEmbargo
Influence of University Orientation on Fresh Students' Academic Attainment: A Case Study of Kabale University.
(Kabale University, 2024) Nuwagaba, Melon
This study examined the impact of Kabale University's orientation program on students’ academic attainment, integration into the university community, and peer mentorship effectiveness. Data collected from university students of varying academic years shed light on participation levels, perceived integration, academic performance, program customization, and peer mentorship experiences. Findings reveal varying degrees of participation, generally positive perceived integration, mixed results regarding academic performance influence, and diverse feedback on peer mentorship effectiveness. The study underscores the need for ongoing evaluation and refinement of the orientation program to address the multifaceted needs of students effectively. Further research avenues include longitudinal analysis of program impact, comparative studies of orientation programs, and exploration of peer mentorship dynamics for enhanced student support and academic success.
ItemEmbargo
Financial Development and Economic Growth in Uganda.
(Kabale University, 2024) Kansiime, Lucky
The study investigated the relationship between financial development and economic growth in Uganda. Its objectives included assessing the impact of savings and investment, financial liberalization, and trade openness on economic growth. Employing a correlational research design, statistical analyses such as mean, median, mode, standard deviation, range, and correlation coefficients were utilized to examine multicollinearity. The Ordinary Least Squares (OLS) model was employed, alongside diagnostic tests for autocorrelation and heteroskedasticity, to interpret the results. The statistical analyses provided insights into the central tendency, variability, and range of values for each variable. The findings indicated a strong positive linear relationship between savings and investment (Indcp) and trade openness (Intrade) with a correlation coefficient of 0.7843, while savings and investment (Infld) showed a strong negative linear relationship with financial liberalization (Ingcf) with a correlation coefficient of -0.7229. The regression table revealed statistically significant coefficients, notably indicating that an increase in gross domestic product per capita (gdpcg) led to an unexpected decrease in savings and investment (Indcp) by 2.599777 units. The diagnostic tests showed no significant evidence of heteroskedasticity, autocorrelation, or instability in the regression model. Based on these findings, the study recommended that the government should strengthen financial institutions by enhancing regulatory frameworks and governance to ensure stability and trust in the financial system. Additionally, promoting financial inclusion through measures like expanding bank branches, advancing mobile banking services, and improving financial literacy programs, especially in rural areas, was also recommended.
ItemEmbargo
Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
(Kabale University, 2024) Ainebyoona, Olivia
Utafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa kike katika riwaya teule. Sampuli ilikuwa riwaya ya Usiku Utakapokwisha ya Mbunda Msokile na riwaya ya Nguu za Jadi ya Clara Momanyi. Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. Mapendekezo ni kufanywa kwa tafiti nyingine ili kulinganishwa na utafiti huu pamoja na kufanya utafiti wa kwenda uwanjani.
ItemEmbargo
Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
(Kabale University, 2024) Akampamya, Mauricia
Utafiti huu ulihusu Uchunguzi linganishi wa usawiri wa mwanamke katika jamii ya Wanyankore na katika tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Kwa kutumia mbinu ya mahojiano, mtafiti alipata data za lengo la kwanza na la tatu. Kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi nyaraka, mtafiti alipata data za lengo la pili na la tatu. Sampuli ya watu kumi na watano yaani wanawake watano kutoka kila kijiji teule katika kata la Ruhaama ndio walifanya kama watoa taarifa pia data nyingine zikatolewa kwa tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. Matokeo ni kwamba Jamii ya Wanyakore mwanamke anadunishwa ingawa kwa upande mdogo anakweza, pili yalionyesha kwamba mwanamke katika Tamthilia ya Mama ee anatwezwa kwa upande mkubwa.Mtafiti anapendekeza kwamba tafiti nyingine zifanywe kuhusu suala hili kwa kuangazia tamthilia,riwaya,diwani na tungo nyingine za kifasihi ili kuwepo uelewekaji wake zaidi.