Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2023

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kabale University

Abstract

Utafiti huu unahusu mtazamo wa walimu wa Kiswahili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu ulibainisha mitazamo mbalimbali ya walimu na wanaelimu wengine, Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya pia na masuluhisho ya Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya huku tukifuatilia Malengo ya Utafiti huu. Utafiti huu ulifanyiwa katika shule mbalimbali Wilayani Kabale na shule hizo ni Kabale secondary school.St. Marys'College Rushoroza, Kigezi High School na BrainStorm High. Wahojiwa kumi ndio waliolengwa katika Utafiti huu kutoka katika Kila shule lililohusishwa yaani walimu watano na wanafunzi watano. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelzo kutambua changamoto zinazoweza kukabili ubadilishaji wa mtaala. Mbinu za mahojiano, usomaji na usaili kukusanya data. K.upitia kwa vifaa vya hojaji na usaili wa moja kwa moja pamoja na usomaji. Nilipata changamoto kadhaa katika utafiti huu yaani; wanafunzi walikuwa hawajui kuongea Kiswahili ambacho kiliathiri mawasiliano, idadi ya wanafunzi ilikuwa nyingi ambacho kilinitatiza katika uchaguzi wa watafitiwa. Utafiti huu ulidhamiria kuwafaidi walimu wa K.iswahili iii kuwa na mtazamo mwema juu ya mtaala mpya ambacho kitawabidi kufanya iwezekanavyo kuona kwamba wanakidhi mahitaji ya mtaala mpya kwa kufuatilia maagizo ya mtaala mpya.

Description

Keywords

Mtazamo, Kiswahili, Kuhusu Ubadilisha, Mtaala, Elimu Wilay, Kabale, Uganda

Citation

Akakikunda, Brenda (2023). Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu Ubadilisha.Ji Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda. Kabale: Kabale University.