Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.

dc.contributor.authorAkakikunda, Brenda
dc.date.accessioned2024-01-15T11:57:52Z
dc.date.available2024-01-15T11:57:52Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu mtazamo wa walimu wa Kiswahili kuhusu ubadilishaji wa mtaala wa elimu nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu ulibainisha mitazamo mbalimbali ya walimu na wanaelimu wengine, Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya pia na masuluhisho ya Changamoto zinazoweza kuukabili mtaala mpya huku tukifuatilia Malengo ya Utafiti huu. Utafiti huu ulifanyiwa katika shule mbalimbali Wilayani Kabale na shule hizo ni Kabale secondary school.St. Marys'College Rushoroza, Kigezi High School na BrainStorm High. Wahojiwa kumi ndio waliolengwa katika Utafiti huu kutoka katika Kila shule lililohusishwa yaani walimu watano na wanafunzi watano. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelzo kutambua changamoto zinazoweza kukabili ubadilishaji wa mtaala. Mbinu za mahojiano, usomaji na usaili kukusanya data. K.upitia kwa vifaa vya hojaji na usaili wa moja kwa moja pamoja na usomaji. Nilipata changamoto kadhaa katika utafiti huu yaani; wanafunzi walikuwa hawajui kuongea Kiswahili ambacho kiliathiri mawasiliano, idadi ya wanafunzi ilikuwa nyingi ambacho kilinitatiza katika uchaguzi wa watafitiwa. Utafiti huu ulidhamiria kuwafaidi walimu wa K.iswahili iii kuwa na mtazamo mwema juu ya mtaala mpya ambacho kitawabidi kufanya iwezekanavyo kuona kwamba wanakidhi mahitaji ya mtaala mpya kwa kufuatilia maagizo ya mtaala mpya.
dc.identifier.citationAkakikunda, Brenda (2023). Mtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu Ubadilisha.Ji Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/1669
dc.language.isoen_US
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectMtazamo
dc.subjectKiswahili
dc.subjectKuhusu Ubadilisha
dc.subjectMtaala
dc.subjectElimu Wilay
dc.subjectKabale
dc.subjectUganda
dc.titleMtazamo Wa Walimu Wa Kiswahili Ka Tika Shule Za Upili Kuhusu UbadilishaJi Wa Mtaala Wa Elimu Wilay Ani Kabale Nchini Uganda.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Akakikunda Brenda-KED-Research Dissertation-2023.pdf
Size:
211.57 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: