Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2019

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kabale University

Abstract

Kusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu pia ulichunguza nafasi ya vifaa katika kufanikisha ufundishaji wa sarufi. Isitoshe, utafiti huu ulibainisha mazoezi wanayopewa wanafunzi ili kuimarisha sarufi na mazungumzo.

Description

Keywords

Mchango, Mbinu, Kufundisha Sarufi, Kiswahili, Ubora, Mazungumzo, Utendaji, Wanafunzi, Tukilenga Kaunti Ndogo, Kambuga Wilayani Kanungu, Uganda

Citation

Natushemereirwe, John (2019). Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.