Institute of Languages (INSTL)
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Institute of Languages (INSTL) by Title
Now showing 1 - 20 of 28
Results Per Page
Sort Options
Item Embargo Akarungi K'ebyeshongoro Omu Mituurire Y'abanyankore.(Kabale University, 2023) Ainembabazi, CosirantaEbi mpandiikire omu kucondooza oku nibyoreeka akarungi k'ebyeshongoro omu mituurire y'Abanyankore kandi okucondooza oku kugyendereire kworeka akarungi nainga emigasho y'ebyeshongoro omu mituurire y' Abanyankore.Item Open Access Amakuru G'emiguutuuro N'enkozesa Yaa Yo Omu Runyankore -Rukiga Omuri Rukiga Disiturikiti Omu Igombororo Rya Rwamucuucu.(Kabale University, 2023)Ebicondoorize birooreka "Amakuru g'emiguutuuro n'enkozesa yaayo omu Runyankore-Rukiga". Kandi ndeesiga ngu biraza kuhwera abeegyesa, abeegi n'enkuzi z'orurimi okwetegyereza gye Amakuru g'emiguutuuro n'enkozesa yaayo omu Runyankore -Rukiga.Item Open Access Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.(2021) Sunday, EmmanuelUchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Hata hivyo, malengo mahususi ya uchunguzi huu, yalikuwa ni pamoja na Kutambua jinsi athari za maumbo ya zinazvyojitokeza baina ya Kiswahili na Lufumbira, lengo la pili lilikuwa ni Kubainisha njia za kukabiliana na athari za Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Utafiti huu ulitumia mbinu ya hojaji, matumizi ya maktaba pamoja na mahojiano. Hojaji ilitumiwa kwa kuandika maswali kwenye makaratasi na kuyapelekeya watafitiwa. Matumizi ya maitaba ni mbinu nyingine iliyotumiwa katik kukusanya data, makala ya watafiti wa awali yalisomwa moja kwa moja kwa kulingana namalengo ya utafiti. Mbinu nyingine ni mahojiano, pia katika utafiti huu tulitumia mazungumzo ya ana kwa ana huku tukifanya maakisio na malengo ya utafiti huu. Keywords: Athari, Maumbo, Lugha, Kiswahili Katika Msamia Ti, Lugha, Lufumbira.Item Open Access Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale.(Kabale University, 2021) Musiimenta, DonathKutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari katika uandishi wa insha na wanafunzi. Utafiti huu ulikuwa unawalenga wanafunzi wa kidato cha nne na sita ambao wanashughulikia uandishi wa insha na walimu wao watatu. Mtafiti alimhoji kila mwanafunzi ambapo moja wao walijua Kiswahili ipasavyo kilichomletea kupata data chache.Item Open Access Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.(Kabale University, 2023) Owoyesiga, NichorusWilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. Wanafunzi wanaosomea huko sasa wanapata maarifa juu ya lugha hii ya Kiswahili. lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari ya siasa katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini Uganda, wilayani Kabale.Item Embargo Changamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda.(Kabale University, 2019) Ayebare, RabeccaSuala la changamoto zinazowak:umba wanafunzi limewavutia wataalamu wengi. Hata hivyo, hak:una utafiti mwingi ambao umefanyiwa juu ya changamoto zinazowakumba wanafunzi wa vyuo nchini Uganda. K wa hivyo, utafiti huu ulifanya uchunguzi juu ya changamoto zinazowakumba wanafunzikatika vyuonchini Uganda. Utafiti huu ulifanywa katika eneo la Munispaa ya Kabale wilayani Kabale Kusini Magharibi Uganda. Chanagamoto zinazowak:umba wanafunzi katika vyuo zilichunguzwa kwa kuangalia jinsia, miaka pamoja kozi mbali mbali zinazoshughulikiwa na wanafunzi mbali mbali katika vyuo vilivyofanyiwa uchunguzi katika somo hili.Madhumuni ya uchunguzi huu yalikuwa Kutambua asili ya changamoto zinazokumba wanafunzi katika vyuo, Kuchunguza jinsia ya wanafunzi ambao wanakumbwa hasana changamoto hizo nchini Uganda pamoja na Kubainisha njia za kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo vya juu nchini Uganda kwa kulenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la utafiti, Malengo ya Utafiti, maswali ya utafiti Upeo wa utafiti, Umuhimu wa Utafiti na Changamotoza Utafiti.Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaalama na ya yaliyoandikwa kuhusu changamoto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo nchini Uganda pamoja na ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.Imeelezea yaliyoandikwa kuhusu changamto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo vya juu, mifumo ya elimu, aina za teknolojia na dhima ya teknolojia. Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti.Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data, Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data na hatimaye, sura ya tano ni muhtasari, matokeo muhimu, na mapendekezo ya ufiti huu.Item Open Access Dhia Ya Methali Katika Ukuzaji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini Bungandaro, Wila Y Ani Rubanda Nchini Uganda(Kabale University, 2021) ATwiniramasiko, IvanUtafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza dhima ya methali katika ukuzaji wa nidhamu baina ya wanajamii kijijini Bungandaro, wilayani Rubanda nchini Uganda. Dhima za methali katika ukuzaji wa nidhamu zilichunguzwa katika utafiti huu. Aidha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu mak uu, yaani uainishaji huu hutegemea maana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa methali husika. Vile vile, methali zimeainishwa kulingana na maudhui ya kirnsingi yanayowasilishwa ndani ya methali hiyo hiyo, pamoja na uainisho wa kimafunzo. Makundi hayo ni pamoja na: Methali za kukashifu tabia mbaya miongoni mwa wanajamii, Methali za kuhimiza heshima kwa wazima miongoni mwa wanajamii pamoja na Methali za kuleta amani miongoni rnwa wanajamii. Basi, makundi haya yote hukuza na kutimiza swala la nidhamu baina ya wanajamii. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la utafiti, Malengo ya Utafiti, Upeo wa utafiti, Umuhimu wa Utafiti na Changamoto zilizoukabili utafiti huu. Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaaluma na ya Kazi tangulizi ambapo imeelezea yaliyoandikwa kuhusu methali na jinsi zinavyoweza kukuza nidhamu baina ya wanajamii. Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu makundi pamoja na uanisho wa methali katika hali au masuala tofauti tofauti. Kadhalika, sura ya pili imeelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha utafiti wa awali pamoja na jinsi utafiti huu ulivyoziba kiunzi au pengo hilo. Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti. Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data, Uchambuzi wa Data na Yifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data,ambapo imeelezea aina za teknolojia ambazo huwa na dhima katika ukuzaji wa nidhamu. Sura ya tano imeeleza juu ya Muhtasari wa Utafiti na Mapendekezo.Item Embargo Dhia Ya Methali Ktika Ukuza.Ji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini BungandaroWilayanirubanda Nchini Uganda.(Kabale University, 2021) Atwinlramasiko, IvanUtafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza dhima ya methali katika ukuzaji wa nidhamu baina ya wanajamii kijijini Bungandaro, wilayani Rubanda nchini Uganda. Dhima za methal i katika ukuzaji wa nidhamu zilichunguzwa katika utafiti huu. Aid ha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu makuu, yaani uainishaji huu hutegemea maana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa methali husika. Vile vile, methali zimeainishwa kulingana na maudhui ya kirnsingi yanayowasilishwa ndani ya methali hiyo hiyo, pamoja na uainisho wa kimafunzo. Makundi hayo ni pamoja na: Methali za kukashifu tabia mbaya miongoni mwa wanajamii, Methali za kuhimiza heshima kwa wazima miongoni mwa wanajamii pamoja na Methali za kuleta amani miongoni mwa wanajamii. Basi, makundi haya yote hukuza na kutimiza swala la nidhamu baina ya wanajamii. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la utafiti, Malengo ya Utafiti, Upeo wa utafiti, Umuhimu wa Utafiti na Changamoto zilizoukabili utafiti huu. Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaaluma na ya Kazi tangulizi ambapo imeelezea yaliyoandikwa kuhusu methali na jinsi zinavyoweza kukuza nidhamu baina ya wanajamii. Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu makundi parnoja na uanisho wa methali katika hali au masuala tofauti tofauti. Kadhalika, sura ya pili imeelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha utafiti wa awali pamoja na jinsi utafiti huu ulivyoziba kiunzi au pengo fiilo. Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti. Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data. Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data,ambapo imeelezea aina za teknolojia ambazo huwa na dhima katika ukuzaji wa nidhamu. Sura ya tano imeeleza juu ya Muhtasari wa Utafiti na Mapendekezo.Item Open Access Dhima ya Methali Ktika Ukuzaji wa Nidhamu Baina ya Wanajamii Kijijini Bungandaro, Wila Yani Rubanda Nchini Uganda.(Kabale University, 2022) Atwiniramasiko, IvanUtafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza dhirna ya methali katika ukuzaji wa nidhamu baina ya wanajamii kijijini Bungandaro, wilayani Rubanda nchini Uganda. Dhima za methali katika ukuzaji wa nidhamu zilichunguzwa katika utafiti huu. Aidha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu makuu, yaani uainishaji huu hutegemea rnaana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa rnethali husika. Vile vile, methali zirneainishwa kulingana na maudhui ya kimsingi yanayowasilishwa ndani ya methali hiyo hiyo, pamoja na uainisho wa kimafunzo. Makundi hayo ni pamoja na: Methali za kukashifu tabia mbaya miongoni mwa wanajamii, Methali za kuhimiza heshima kwa wazima miongoni mwa wanajamii pamoja na Methali za kuleta amani miongoni mwa wanajamii. Basi, makundi haya yote hukuza na kutimiza swala la nidhamu baina ya wanajamii. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la utafiti, Malengo ya Utafiti, Upeo wa utafiti, Umuhimu wa Utafiti na Changamoto zilizoukabili utafiti huu. Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaaluma na ya Kazi tangulizi ambapo imeelezea yaliyoandikwa kuhusu methali na jinsi zinavyoweza kukuza nidhamu baina ya wanajamii. Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu makundi pamoja na uanisho wa methali katika hali au masuala tofauti tofauti. Kadhalika, sura ya pili irneelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha utafiti wa awali pamoja na jinsi utafiti huu ulivyoziba kiunzi au pengo li'ilo. Sura ya Tatu irnezungumzia Njia na Mbinu za Uafiti. Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data. Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data,ambapo imeelezea aina za teknolojia ambazo huwa na dhima katika ukuzaji wa nidhamu. Sura ya tano imeeleza juu ya Muhtasari wa Utafiti na Mapendekezo.Item Open Access Dhima Ya Nyenzo Ka Tika Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kjsw Ahili Ka Tika Shule Za Upili Ka Tika Muni Sp Ali Ya Kabale.(Kabale University, 2023) Ahereza, PromiseUfundishaji ni hatua inayohusisha mawasiliano kati ya mwalimu na mwanafunzi au kati ya wanafunzi wenyewe. Mawasiliano huhusisha mwanzo wa ujumbe, njia ya kupitisha ujumbe huo na mpokeaji wa ujumbe huo. Njia za upokeaji wa ujumbe huo hufanikishwa na kuwepo au kutokuwepo kwa nyenzo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhima ya nyenzo katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za upili katika munispali ya Kabale.Item Open Access Ebimera N'ebiti Omu Igomborora Rya Ikumba, Disiturikiti Ya Rubanda, Uganda, N'endwara Ezi Birikutamba.(Kabale University, 2023) Akankwasa, SamObwahati, obukaikuru bw'abantu omu nsi yoona nibarya ninga bakozesa ebimera nk'ebyokurya, okwombeka oburaaro, okukora ebijwaro, emibazi kandi hamwe n'ebindi bintu bitari bimwe na bimwe. Ebimera ebingi biine omugasho omu nsi egi, beitu hariho ebyo ebiine omugasho kwonka abantu batarikubimanya. N'okumanya amaziina g'ebimera n'ebiti by'ekikiga n'endwara ezi birikutamba obwo turikwebuuza aha bantu abarikuzaarwa omu lgomborora rya lkumba, omu Disiturikiti ya Rubanda.Item Embargo Enfumu Z'abanyankore Bakiga Amakuru N'emigasho Yaazo.(Kabale University, 2023) Orikiriza, EudisiEbi mpandiikire nibyeereka enfumu z'Abanyankore Bakiga, amakuru hamwe n'emigasho yaazo. Hamwe n'abashomi ba butoosha kwetegyereza gye amakuru g'enfumu z'Abanyankore Bakiga hamwe n'abo abarikwenda kuguma nibakoresa enfumu z'Abanyankore Bakiga omu kwenda kubutuura orurimi kandi hamwe n'emigambire ya Runyankore-RukigaItem Embargo L'effet De L'environment Sur L'enseignement Et L'apprentissage De La Langue Francaise Dans Le District De Lira.(Kabale University, 2021) Oyugi, JacksonL'Ouganda est l'un des pays qui forment la communaute d'Afrique de l'Est. Deux pays de la communaute d'Afrique de l'Est; Le Burundi et le Rwanda ont utilise le francais comme langue officielle et comme moyen d'enseignement, bien que le Rwanda ait plus tard change la langue d'enseignement en anglais. Meme la Republique democratique du Congo, qui partageait directement des frontieres avec l'Ouganda, utilise le francais comme langue officielle et langue d'enseignement. L'etude vise specifiquement a decouvrir l'impact de l'environnement sur l'enseignement-apprentissage du francais a Lira.Item Open Access Learners' Perception of English Language Learning in Universal Secondary Schools in Kisoro District.(Kabale University, 2021) Ndagijimana, NgendaThe study investigated learners' perception of English language learning in secondary schools in Kisoro Municipality. It was guided by objectives which were to establish learners' positive perception of English learning in USE schools in Kisoro District, to investigate the learners' negative perceptions of English learning in USE schools in Kisoro District and to establish ways to improve on English learning in USE schools in Kisoro District. The study dopted a cross sectional research design. The study used a sample size of 249 respondents. Both purposive and simple random sampling techniques were used in selecting respondents. Dara collection was done using questionnaires and interview guide. The study established that English was one of favourite subjects for learners and students liked mastering English because it would help them get a good job in the future. In addition, studying English helped students to improve their personality and communicate in English effectively as well as rnabling students use modern technology effectively. The study established that that English was a difficult subject and at times students dodged its lessons. From the findings, it was established that they had not got any great wish to learn more than the basics of English. The study also established that students who claimed they got nervous in English classes were just making excuses. The study established that some students didn't attend English classes because they have negative perception towards learning it. The study found out that learners should be motivated by creating good learning environment, providing enough English instructional materials and teaching resources, assessing of students using appropriate continuous assessment strategies and encouraging students to have positive perception on learning English would improve on English learning in secondary schools in Kisoro District. The study recommended that learners should be motivated by creating good learning environment. There should be provision of enough English instructional materials and teaching resources as this would create positive perception and enhance English learning. Since effective learning takes place through interactive communication between the more knowledgeable person and the learner, there must be a more empowering plan to ensure that teachers and learners have basic capacity to use English as the medium of instruction. keywords: Learners' Perception, English Language Learning, Universal Secondary Schools, Kisoro District.Item Open Access Mchan Go Wa Utenzi Wa Mw Anakupona Ka Tika Ukuzaji Na Uendelezaji Wa Lugha Ya Kiswahili Miongoni Mwa Vijana Wa Leo Nchini Uganda.(Kabale University, 2023) Kobusingye, EudiaUtenzi wa mwanakupona ni utenzi ambao umekuwa unarejelewa na wasomi au hata na jamii nzima kwa haja ya kurekebisha nidhamu za kijamii au hata na utunzi wa ndoa za kawaida, Lugha ya kiswahili chini Uganda. Lengo kuu katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa utenzi wa mwanakupona katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili miongoni mwa VIJana wa leo nchini UgandaItem Embargo Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.(Kabale University, 2019) Natushemereirwe, JohnKusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu pia ulichunguza nafasi ya vifaa katika kufanikisha ufundishaji wa sarufi. Isitoshe, utafiti huu ulibainisha mazoezi wanayopewa wanafunzi ili kuimarisha sarufi na mazungumzo.Item Embargo Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.(Kabale University, 2021) Nahurira, RonnetUtafiti huu unahusu methali kama kielezo cha shughuli katika jamii ya Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri, nchini Uganda. Hivyo ni kwamba somo hili liliongozwa na lengo kuu ambalo lilikuwa ni kubainisha shughuli zinazoelezwa na methali za kihororo pamoja na zile za Kikiga wilayani Rukungiri.Somo hili pia lilifuata malengo mahususi ambayo yalikuwa ni pamoja na: Kwanza, utafiti huu ulichunguza shughuli zinazoweza kuelezwa na methali katika Wahororo Wakiga nchini Uganda. Pili, utafiti huu ulibainisha uhusiano kati ya methali na matawi mengine ya fasihi simulizi na jinsi yanavyoweza kutumiwa kama kielezo cha shughuli za jamii ya Wahoro/Wakiga, nchini Uganda. Tatu, utafiti huu ulibainisha changamoto zinazokumba methali kama kielezo cha shughuli katika Wahororo/Wakiga wilayani Rukungiri pamoja na njia za kukabiliana na changamoto zinazokumba methali kutumiwa kama vielezo vya shughuli za Wahororo/ Wakiga wilayani Rukungiri. Utafiti huu ulifanyiwa wilayani Rukungiri katika vijiji vya Eisherero, Nyabihinga, Omukarere pamoja na Nyakashaka. Wahojiwa wazazi walitumiwa katika utafiti huu wakati wa kutoa data, walisaidia katika kutoa data kuhusu shughuli zinazoelezwa na methali pamoja na mifano ya methali zinazoeleza shughuli hizo. Utafiti huu uligundua kuwa ingawa methali hukumbwa na changamoto tofauti tofauti, zinarejelewa sana kama kielezo cha shughuli za Wahororo/Wakiga.Item Open Access Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''.(Kabale University, 2022) Masika, DoreenMradi huu wa tamthilia umepewa anwani ya " kiza cha mchana " kimaksudi. K wa kawaida kiza hujitokeza wakati wa usiku lakini siyo wakati wa mchana kwa hivyo kiza kikijitokeza mchana kuna maana kwamba kuna kitu ambacho hakiko sawa. Mtu yeyote azaliwapo huwa anatarajia mema na ufanisi katika maisha yake lakini baadhi ya watu duniani na katika nchi hii, matarajio yao hugeuka ndoto ya mchana yaani huishia yakiwa kinyume kabisa na matarajio ya watu hawa. Mradi wa tamthilia ya "kiza cha mchana" utadhihirisha wazi wazi jinsi baadhi ya watu wanakumbana na matatizo chungu nzima; tatizo baada yajingine mpaka wanapoanza kujichukia na kulaani siku walizozaliwa. Tamthilia hii itamtia mtu moyo ambaye anakumbana na matatizo katika maisha yake kwamba matatizo ni sehemu ya maisha ya binadamu na sio mwisho wa maisha ya binadamu, wakiyavumilia wakaendelea kujitahidi kadri ya uwezo wao huku wakimwomba Rabana, mwishowe watafanikiwa na hali yao kubadilika kabisa na kuanza kuishi kwa raha mustarehe. Mhusika mkuu, Matatizo ambaye ni fakiri atakumbana na matatizo mengi; moja baada ya jingine licha ya kuwa mchochole wa kupigiwa mfano. Matatizo analemewa na kuanza kujichukia na mwishowe anaokoka na baada ya muda mfupi anafanikiwa na kutajirika kutokana na bahati asiyoilalia wala kuiamkia. Watu kama hawa huishia kwa kujitia kitanzi baada ya kukumbana na mfululizo wa matatizo kama njia ya kuondokea matatizo haya na kuiacha familia yao katika dhiki kubwa. Kwa hivyo, mradi huu unapinga kabisa kuj itia kitanzi kama suluhisho la mfululizo wa matatizo bali kuwatia moyo na kuendelea kufukuza ndoto zao huku wakiimezea mate machungu hali yoyote ile wanayokumbana nayo mpaka watakapofaulu. Matatizo hapa amechorwa kama maskini, mvumilivu, ili kuwapa watu kama hawa mfano mzuri. Mradi wa tamthilia utapangwa katika vitendo vitatu na kila kitendo kitakuwa na maonyesho matatu. Kila kitendo kitakuwa na maudhui kuu linalozungumziwa humo ambalo linajitosheleza. Kila onyesho litakuwa na maudhui kuu pamoja na maudhui mengine madogo. Maudhui haya ya vitendo na maonyesho yatachangiana na kukamilishana na kufanya tamthilia nzima yenye wazo kuu la matatizo yaani anwani yenyewe ya mradi. Maudhui yatakayoshughulikiwa yatakuwa miongoni mwa utabaka, matatizo, uasherati, migogoro ya kifamilia, uvumilivu, ukengeushi, unafiki, mabadiliko, dini, baraka. vi Msanii wa mradi atatumia wahusika mbalimbali ambao ni pamoja na wahusika wakuu, wahusika wadogo, wahusika bapa, wahusika mviringo na wahusika wa kisaikolojia. Wahusika hawa watakuwa na mienendo ambayo ni pamoja na wavumilivu, wajibikaji, waaminifu, wakengeushi, washerati, wapole, werevu masomoni, washauri wema. Wahusika wakuu ndio watakaosheheni ujumbe muhimu na wahusika wadogo watawasaidia wahusika wakuu kukamilisha dhamira na maudhui ya msanii. Mazungumzo yataendelezwa miongoni mwa wahusika hawa ambapo nafsi ya kwanza umoja (ni ) na wingi ( tu ) zitatumika hasa kuendeleza mazungumzo baina ya wahusika. Nyimbo, majazi, taswira navyo vitatumika kuwasilisha ujumbe. Wahusika hawa watakuwa na maleba ambayo yataambatana sambamba na mandhari husika na wazo litakalokuwa likiendelezwa na wahusika hawa. Maleba yatakayotumiwa yatakuwa pamoja na magwanda, majoho ya kitabibu, majoho ya mapadre, ndala, veli. Maelekezo ya jukwaa yatatumiwa ipasavyo iii kuwaielekeza hadhira kutambua kwa urahisi maleba, miondoko na maingio ya wahusika na sifa zao. Maelekezo ya jukwaa yataandikwa kwa hati za mkazo na kuwekwa katika mabano. Maelekezo ya jukwaa haya pia yataonyesha wakati na mandhari ambapo vitushi vitatendeka. Mandhari haya yatakuwa pamoja na nyumbani, shambani, zahanatini. hospitalini kanisani.Item Open Access Mradi Wa Kuandika Tamthilia Yenye Kichwa Penzi La Dhati.(Kabale University, 2019) Masereka, George WilliamItem Open Access Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’.(Kabale University, 2022) Tusasibwe, BoscoKudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na kuendeleza ujifunzaji, ufundishaji na usomaji wa kazi za fasihi ya Kiswahili Uganda, Kueleza maswala ya kimaisha ya binadamu katika mazingira yake, changamoto na ukombozi wake wa kujenga maisha bora