Institute of Languages (INSTL)
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Institute of Languages (INSTL) by Subject "Athari"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Open Access Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.(2021) Sunday, EmmanuelUchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni kubainisha athari za maumbo ya Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Hata hivyo, malengo mahususi ya uchunguzi huu, yalikuwa ni pamoja na Kutambua jinsi athari za maumbo ya zinazvyojitokeza baina ya Kiswahili na Lufumbira, lengo la pili lilikuwa ni Kubainisha njia za kukabiliana na athari za Kiswahili katika msamiati wa Lufumbila. Utafiti huu ulitumia mbinu ya hojaji, matumizi ya maktaba pamoja na mahojiano. Hojaji ilitumiwa kwa kuandika maswali kwenye makaratasi na kuyapelekeya watafitiwa. Matumizi ya maitaba ni mbinu nyingine iliyotumiwa katik kukusanya data, makala ya watafiti wa awali yalisomwa moja kwa moja kwa kulingana namalengo ya utafiti. Mbinu nyingine ni mahojiano, pia katika utafiti huu tulitumia mazungumzo ya ana kwa ana huku tukifanya maakisio na malengo ya utafiti huu. Keywords: Athari, Maumbo, Lugha, Kiswahili Katika Msamia Ti, Lugha, Lufumbira.Item Restricted Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale.(Kabale University, 2021) Musiimenta, DonathKutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari katika uandishi wa insha na wanafunzi. Utafiti huu ulikuwa unawalenga wanafunzi wa kidato cha nne na sita ambao wanashughulikia uandishi wa insha na walimu wao watatu. Mtafiti alimhoji kila mwanafunzi ambapo moja wao walijua Kiswahili ipasavyo kilichomletea kupata data chache.Item Restricted Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.(Kabale University, 2023) Owoyesiga, NichorusWilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. Wanafunzi wanaosomea huko sasa wanapata maarifa juu ya lugha hii ya Kiswahili. lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari ya siasa katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini Uganda, wilayani Kabale.