Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2023

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kabale University

Abstract

Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. Wanafunzi wanaosomea huko sasa wanapata maarifa juu ya lugha hii ya Kiswahili. lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari ya siasa katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini Uganda, wilayani Kabale.

Description

Keywords

Athari, Siasa, Tika Kukuza Lugha, Kiswahili, Kabale, Uganda

Citation

Owoyesiga, Nichorus (2023). Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda. Kabale: Kabale University.