Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda.
dc.contributor.author | Owoyesiga, Nichorus | |
dc.date.accessioned | 2024-01-13T09:51:03Z | |
dc.date.available | 2024-01-13T09:51:03Z | |
dc.date.issued | 2023 | |
dc.description.abstract | Wilayani Kabale, baadhi ya wanasiasa wamechangia kikubwa sana hasa juu ya ukuaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili kwa mfano, Waziri David Bahati ambaye ni Waziri wa biashara na viwanda alijitahidi kuinua baadhi ya shule hasa shule ya Mtakatifu Barnarbas Karujanga kwa kuiombea ufadhili wa serikali. Wanafunzi wanaosomea huko sasa wanapata maarifa juu ya lugha hii ya Kiswahili. lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza athari ya siasa katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini Uganda, wilayani Kabale. | |
dc.identifier.citation | Owoyesiga, Nichorus (2023). Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda. Kabale: Kabale University. | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12493/1641 | |
dc.language.iso | en_US | |
dc.publisher | Kabale University | |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States | en |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ | |
dc.subject | Athari | |
dc.subject | Siasa | |
dc.subject | Tika Kukuza Lugha | |
dc.subject | Kiswahili | |
dc.subject | Kabale | |
dc.subject | Uganda | |
dc.title | Athari Za Siasa Ka Tika Kukuza Lugha Ya Kisw Ahili Wila Yani Kabale Nchini Uganda. | |
dc.type | Thesis |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- Owoyesiga Nichorus-KED-Research Dissertation-2023.pdf
- Size:
- 257.77 KB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: