Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale.

Loading...
Thumbnail Image
Date
2021
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kabale University
Abstract
Kutambua athari za Runyankole- Rukiiga kwenye uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kueleza athari zinazojitokeza katika uandishi wa insha za Kiswahili miongoni mwa wanafunzi, Kuelezavyanzo vya athari katika uandishi wa insha na wanafunzi. Utafiti huu ulikuwa unawalenga wanafunzi wa kidato cha nne na sita ambao wanashughulikia uandishi wa insha na walimu wao watatu. Mtafiti alimhoji kila mwanafunzi ambapo moja wao walijua Kiswahili ipasavyo kilichomletea kupata data chache.
Description
Keywords
Athari, Runyankole-Rukiga, Uandishi, Kiswahili Miongoni, Wanafunzi, Kabale
Citation
Musiimenta, Donath(2021). Athari za Runyankole-Rukiga Katika Uandishi wa Insha Za Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi wa Shule za Upili wila yani Kabale. Kabale: kabale University.