Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.

dc.contributor.authorNatushemereirwe, John
dc.date.accessioned2024-01-30T07:02:34Z
dc.date.available2024-01-30T07:02:34Z
dc.date.issued2019
dc.description.abstractKusudi la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa mbinu zinazotumika kufunza Lugha ya Kiswahili na umilisi wa mazungumzo ya wanafunzi katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu pia ulichunguza nafasi ya vifaa katika kufanikisha ufundishaji wa sarufi. Isitoshe, utafiti huu ulibainisha mazoezi wanayopewa wanafunzi ili kuimarisha sarufi na mazungumzo.
dc.identifier.citationNatushemereirwe, John (2019). Mchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/1905
dc.language.isoother
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectMchango
dc.subjectMbinu
dc.subjectKufundisha Sarufi
dc.subjectKiswahili
dc.subjectUbora
dc.subjectMazungumzo
dc.subjectUtendaji
dc.subjectWanafunzi
dc.subjectTukilenga Kaunti Ndogo
dc.subjectKambuga Wilayani Kanungu
dc.subjectUganda
dc.titleMchango Wa Mbinu Za Kufundisha Sarufi Ya Kiswahili Kwa Ubora Wa Mazungumzo Na Utendaji Wa Wanafunzi Wa Shule Za Upili Za Umma, Tukilenga Kaunti Ndogo Ya Kambuga Wilayani Kanungu Nchini Uganda.
dc.typeThesis

Files