Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.

dc.contributor.authorBaluku, Joel
dc.date.accessioned2025-01-15T11:31:38Z
dc.date.available2025-01-15T11:31:38Z
dc.date.issued2024
dc.description.abstractUtafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, kategoria za sababu za makosa ya upatanisho wa kisarufi pia yalibainishwa na hatua za kukabiliana na makosa hayo. Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwepo kwa makosa ya upatanisho wa kisarufi katika kazi andishi na zungumshi za wanafunzi wa shule za upili wanaojifunza lugha ya Kiswahili hasa kutokana na harakati na jitihada za kujifunza. Athari za lugha ya kwanza pia zimejitokeza kama chanzo za makosa ya upatanisho wa kisarufi. Makosa hayo yanadhihirika katika vipengele vya ujuzi na uzalishaji wa matamko na maandishi.
dc.identifier.citationBaluku, Joel (2024). Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/2789
dc.language.isoen
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectMakosa
dc.subjectUpatanisho
dc.subjectKisarufi
dc.subjectUjifunzaji
dc.subjectLugha
dc.subjectKiswahili
dc.subjectShule
dc.subjectWilayani Kasese
dc.titleMakosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Baluku Joel-2024-BES-Research Dissertation.pdf
Size:
593.8 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: