Institute of Languages (INSTL)
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Institute of Languages (INSTL) by Author "AIDAH, MUTENYO"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Open Access KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO(2020) AIDAH, MUTENYOKilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;