Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.

dc.contributor.authorAinembabazi, Abia
dc.date.accessioned2024-12-21T09:13:22Z
dc.date.available2024-12-21T09:13:22Z
dc.date.issued2024
dc.description.abstractUtafiti huu ulifanywa kuhusu usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Mbinu za kukusanya data zilikuwa ni mahojiano na uchanganuzi nyaraka na data za utafiti huu zilizokusanywa zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kiamaelezo. Matokeo ya utafiti huu yamewasilishwa kwa mtiririko kama malengo ya utafiti katika sura ya kwanza yalivyobainishwa mtawalia. Matokeo ya lengo la kwanza yaliwasilishwa kwa jedwali 4.1. Methali za Kinyankole zimeorodheshwa kwa jedwali hilo. Matokeo ya lengo la pili yanaonyesha kwamba kuna methali nyingi za Kinyankole ambazo kwazo ubabedume unasawiriwa na methali hizo ni kama vile; Utafiti huu umekuwa na malengo mawili yanni lengo la kwanza ambalo limekuwa linahusu kukusanya methali za Kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Mtafiti amekusanya methali za kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Pamoja na lengo la pili ambalo lilikuwa linahusu kuchunguza namna methali hizo zinazosawiri ubabedume na mtafiti amezichunguza methali hizo kwa kuonyesha namna hizo methali zinazosawiri ubabedume.
dc.identifier.citationAinembabazi, Abia (2024). Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/2485
dc.language.isoen
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectUsawiri
dc.subjectUbabedume
dc.subjectFasihi Simulizi
dc.subjectUchunguzi
dc.subjectMethali
dc.subjectKinyankore
dc.titleUsawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Ainembabazi Abia-2024-BES-Research Dissertation.pdf
Size:
336.11 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: