Dhima Ya Nyenzo Ka Tika Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kjsw Ahili Ka Tika Shule Za Upili Ka Tika Muni Sp Ali Ya Kabale.
Loading...
Date
2023
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kabale University
Abstract
Ufundishaji ni hatua inayohusisha mawasiliano kati ya mwalimu na mwanafunzi au kati ya wanafunzi wenyewe. Mawasiliano huhusisha mwanzo wa ujumbe, njia ya kupitisha ujumbe huo na mpokeaji wa ujumbe huo. Njia za upokeaji wa ujumbe huo hufanikishwa na kuwepo au kutokuwepo kwa nyenzo. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhima ya nyenzo katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za upili katika munispali ya Kabale.
Description
Keywords
Dhima, Nyenzo, Ufundishaji, Ujifunzaji, Kjsw Ahili, Tika Shule, Upili, Kabale
Citation
Ahereza, Promise (2023). Dhima Ya Nyenzo Ka Tika Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kjsw Ahili Ka Tika Shule Za Upili Ka Tika Muni Sp Ali Ya Kabale. Kabale: Kabale University.