Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.

dc.contributor.authorAinebyoona, Olivia
dc.date.accessioned2024-06-24T09:36:20Z
dc.date.available2024-06-24T09:36:20Z
dc.date.issued2024
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa kike katika riwaya teule. Sampuli ilikuwa riwaya ya Usiku Utakapokwisha ya Mbunda Msokile na riwaya ya Nguu za Jadi ya Clara Momanyi. Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. Mapendekezo ni kufanywa kwa tafiti nyingine ili kulinganishwa na utafiti huu pamoja na kufanya utafiti wa kwenda uwanjani.
dc.identifier.citationAinebyoona, Olivia (2024). Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/2110
dc.language.isoen_US
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectUchanganuzi Linganishi
dc.subjectWahusika
dc.subjectKike Katika Riwaya
dc.subjectUsiku Utakapokwisha
dc.subjectNguu
dc.subjectJadi
dc.titleUchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Ainebyoona Olivia-2024-KED -Research Dissertation.pdf
Size:
378.17 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: