Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.

dc.contributor.authorYebare, Israel
dc.date.accessioned2024-01-13T09:51:56Z
dc.date.available2024-01-13T09:51:56Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractUtafiti huu utashughulikia mada ambayo ni changamoto za utekelezaji wa program Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga chuo kikuu cha kabale. Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. Utafiti huu pia utaundwa kwa sura tano, yaan1, sura ya kwanza, sura ya pili, sura ya tatu, sura ya nne pamoja na sura ya tano. Sura ya kwanza itahusu usuli wa mada, suala la utafiti, malengo ya utafiti, umuhimu wa utafiti pamoja na changamoto zinazoweza kuukabili utafiti huu . Sura ya pili itahusu kazi za watafiti wa awali ambao walifanya utafiti wenye uhusiano na utafiti huu utakaofanywa. Katika sura ya tatu, utafiti huu utashughulikia mbinu zitakazofuatiliwa katika ukusanyaji wa data hadi kukamilisha utafiti huu. Hata hivyo, sura ya tatu itahusu muundo wa utafiti, eneo la utafiti, vifaa vya utafiti, uhakikishaji wa ubora pamoja na uteuzi wa sampuli ya wahojiwa wa utafiti huu. Katika sura ya nne, utafiti huu utashughulikia ukusanyaji wa data, uchambuzi pamoja na uwasilishaji wa data ambazo zitakuwa zimekusanywa kutoka uwanjani. Sura ya mwisho itakuwa ni sura ya tano ambapo katika sura hii, utafiti huu utatoa mhutasari wa utafiti, hitimisho la utafiti pamoja na mapendekezo ya utafiti huu utakaohusu changamoto za utekelezaji wa program ya Kiswahili kwa wanafunzi wa utalii tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
dc.identifier.citationYebare, Israel (2023). Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/1647
dc.language.isoen_US
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectChang
dc.subjectUtekelezaji
dc.subjectProgramu
dc.subjectKisw Ahili
dc.subjectWanafunzi
dc.subjectUtalii Tukilenga
dc.subjectKikuu
dc.subjectKabale
dc.titleChang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Nayabare Israel-KED-Research Dissertation-2023.pdf
Size:
281.92 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: