Uchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga.

dc.contributor.authorKyomuhendo, Susan
dc.date.accessioned2025-01-17T08:56:51Z
dc.date.available2025-01-17T08:56:51Z
dc.date.issued2024
dc.description.abstractUchunguzi huu ulishughulikia mada ya “uchanganuzi linganishi wa nomino za kiswahili na zile za kinyankore kikiga”. Kulikuwa tafiti chache sana ambazo zilikuwa zimefanywa juu ya lugha ya kinyankore kikiga hasa katika uwanja wa nomino. Tena wanafunzi wa shule za upili hawakujua vitengo mbalimbali vinavyojenga maneno na pia aina tofauti za maneno katika lugha yao ya kwanza yaani kinyankore kikiga. Wanafunzi walihakikisha kuwa hawakuwa na vitabu vya kurejelea walipoambiwa kufanya uchunguzi huu na kwa hivyo, kulikuwa haja ya tafiti kama hizi kufanywa na baadaye vitabu kuandikwa kusaidia watu kuelewa na kujifuza lugha zao.
dc.identifier.citationKyomuhendo, Susan (2024). Uchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga. Kabale: Kabale University.
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/2819
dc.language.isoen
dc.publisherKabale University
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Statesen
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/
dc.subjectUchanganuzi Linganishi
dc.subjectNomino
dc.subjectKiswahili
dc.subjectZile
dc.subjectKinyankore- Kikiga
dc.titleUchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga.
dc.typeThesis

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Kyomuhendo Susan-2024-KED-Research Dissertation.pdf
Size:
692.18 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: