Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of KAB-DR
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Amanzi, Musa .O."

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    ItemOpen Access
    Miktadha ya Kisintaksia itokanayo na Makusudio ya Mawasiliano katika Uibuzi wa Miundo Virai Kubalifu ya Kiswahili.
    (Kabale University, 2024) Amanzi, Musa .O.
    Lugha ya Kiswahili ni lugha yenye muundo wa kitenzi kati yaani, katika sentensi ni lazima kuwe na viambajengo kabla au baada ya kitenzi ambavyo vinaweza kuwa dhahiri au visiwe dhahiri. Kuwapo kwa muundo huu hakumaanishi kuwa lugha hii ina utaratibu mmoja kiusemaji. Bali, ipo miundo mingine ambayo kimsingi ujitokezaji wake husababishwa na miktadha mbalimbali ya kisintaksia. Makala haya kwahiyo yanalenga kuchunguza miktadha ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubalifu vya sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilipatikana uwandani kupitia mbinu ya ushuhudiaji sikizi na mahojiano. Nadharia ya Uchunguzi wa Kimaeneo ya Joshua Aaron Fishman mwaka (1972) ilitumika katika uchanganuzi na uwasilishaji wa data. Katika uwasilishaji wa kila data, alama “Mt.” ilitumika ikimaanisha “mtoataarifa”. Matokeo ya makala haya yanaonesha kuwa kuna miktadha sita ya kisintaksia itokanayo na makusudio ya mawasiliano katika uibuzi wa miundo virai kubali vya sentensi za Kiswahili. Miktadha hiyo ni umadaishaji, ufokasilishaji, usititizi, uulizi, maombi na kuagiza. Aidha, makala haya yanapendekeza kuwa tafiti nyingine zifanyike ili kuchunguza miundo virai kubalifu itokanayo na miktadha ya kisintaksia ya makusudio ya mawasiliano.

Kabale University copyright © 2025

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback