Browsing by Author "Ainembabazi, Abia"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Restricted Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.(Kabale University, 2024) Ainembabazi, AbiaUtafiti huu ulifanywa kuhusu usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Mbinu za kukusanya data zilikuwa ni mahojiano na uchanganuzi nyaraka na data za utafiti huu zilizokusanywa zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kiamaelezo. Matokeo ya utafiti huu yamewasilishwa kwa mtiririko kama malengo ya utafiti katika sura ya kwanza yalivyobainishwa mtawalia. Matokeo ya lengo la kwanza yaliwasilishwa kwa jedwali 4.1. Methali za Kinyankole zimeorodheshwa kwa jedwali hilo. Matokeo ya lengo la pili yanaonyesha kwamba kuna methali nyingi za Kinyankole ambazo kwazo ubabedume unasawiriwa na methali hizo ni kama vile; Utafiti huu umekuwa na malengo mawili yanni lengo la kwanza ambalo limekuwa linahusu kukusanya methali za Kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Mtafiti amekusanya methali za kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Pamoja na lengo la pili ambalo lilikuwa linahusu kuchunguza namna methali hizo zinazosawiri ubabedume na mtafiti amezichunguza methali hizo kwa kuonyesha namna hizo methali zinazosawiri ubabedume.