Browsing Institute of Languages (INSTL) by Issue Date
Now showing items 1-9 of 9
-
KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
(2020)Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu ... -
Ukubalifu wa Silabi Funge katika Fonolojia ya Kiswahili
(Mwanga wa Lugha, 2021)Makala haya yanachunguza ukubalifu wa silabi funge katika fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia mifano kutoka Kiarabu na Kiingereza. Tafiti kadhaa zilibainisha uchopezi wa irabu baada ya konsonanti funge kuwa ni mkakati wa ... -
Upokeaji na Ukubalifu wa Vitamkwa vya Kiarabu na Kiingereza katika Fonolojia ya Kiswahili
(Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, 2021)Makala hii inachunguza jinsi vitamkwa vya kigeni [χ], [ɣ], [ð] na [θ] vilivyopokelewa katika fonolojia ya Kiswahili kutoka Kiarabu na Kiingereza. Lengo la makala hii ni kuelezea sababu za ukubalifu2 wa vitamkwa hivyo katika ... -
Upenyezaji na Ukubalifu wa Mkururo wa Konsonanti katika Fonolojia ya Kiswahili: Mifano katika Maneno Yaliyopokelewa kutoka Kiingereza na Kiarabu
(Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, 2021)Makala haya yanachunguza jinsi mikururo ya konsonanti [Skr-]/[Sk-], [Spr-]/[Sp-], na [Str-]/[St-] ilivyopokelewa katika fonolojia ya Kiswahili kutoka Kiarabu na Kiingereza. Lengo kuu ni kuelezea jinsi mikururo hiyo ya ... -
Analysis of Stakeholders Involvement in the Implementation of the M.A. Literature Curriculum at Kabale University Using E-Learning Approach
(East African Journal of Education Studies, 2021)The purpose of the study was to report on an empirical study of the involvement of stakeholders in the implementation of the MA Literature Curriculum at Kabale University using e-Learning approach. The study used a mixed ... -
African Childhood “Reawakened”: Using Cultural Studies Theory in Understanding the Use of Symbolism in Camara Laye’s The African Child.
(East African Journal of Traditions, Culture and Religion, 2021)This paper reports the findings of a pragmatic study that uses follow-up interviews as a method to investigate how participants read the language in the novel by a renowned African novelist Camara Laye. The study builds ... -
Depictions Of Environmental Destruction By British Colonizers In Ole Kulets “The Hunter” and “Vanishing Herds”
(American Research Journal of Humanities & Social Science (ARJHSS), 2022)This article examines the ecological legacy of 70 years of British colonial rule in Kenya and to identify some of the ecological challenges faced by the post-colonial Kenyan state, which are reflected in the rapid ... -
Depictions of Human Trafficking and Exploitation in Contemporary Africa Using Akachi Adimora Ezeigbo’s Trafficked and Apio Eunice Otuku’s Zura Maids
(East African Journal of Arts and Social Sciences, 2022)In 2020, the government of Uganda reported investigating 214 incidents of human trafficking involving 154 suspects; of these incidents, 118 were internal, 93 transnationals, and three unknowns. This was a decrease compared ... -
Sociology of the COVID-19 Lockdown: Critical Analysis of Its Effects on Private School Teacher Wellbeing
(IGI Global, 2022)Much of the research on COVID-19 is gleaned on epidemiological, virological, and medical outcomes of the global pandemic. In education, research focus is skewed towards how school closure affected the psychological ...