Tusasibwe, Bosco2023-03-062023-03-062022Tusasibwe, Bosco (2022). Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’. Kabale: kabale University.http://hdl.handle.net/20.500.12493/1071Kudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na kuendeleza ujifunzaji, ufundishaji na usomaji wa kazi za fasihi ya Kiswahili Uganda, Kueleza maswala ya kimaisha ya binadamu katika mazingira yake, changamoto na ukombozi wake wa kujenga maisha boraen-USAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesMradiKutungaTamthiliaMama MkweMradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’.Thesis