Ainebyoona, Olivia2024-06-242024-06-242024Ainebyoona, Olivia (2024). Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi. Kabale: Kabale University.http://hdl.handle.net/20.500.12493/2110Utafiti huu umeshughulikia Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Nguu za Jadi. Tatizo la utafiti lilikuwa suala la kulinganisha matendo na lugha ambayo wahusika hawa wa kike katika kazi hizi halijashughulishwa. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua wahusika wa kike katika riwaya teule. Sampuli ilikuwa riwaya ya Usiku Utakapokwisha ya Mbunda Msokile na riwaya ya Nguu za Jadi ya Clara Momanyi. Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. Mapendekezo ni kufanywa kwa tafiti nyingine ili kulinganishwa na utafiti huu pamoja na kufanya utafiti wa kwenda uwanjani.en-USAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Stateshttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Uchanganuzi LinganishiWahusikaKike Katika RiwayaUsiku UtakapokwishaNguuJadiUchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.Thesis