Ayebare, Rabecca2024-01-252024-01-252019Ayebare, Rabecca (2019). Changamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda. Kabale: Kabale University.http://hdl.handle.net/20.500.12493/1844Suala la changamoto zinazowak:umba wanafunzi limewavutia wataalamu wengi. Hata hivyo, hak:una utafiti mwingi ambao umefanyiwa juu ya changamoto zinazowakumba wanafunzi wa vyuo nchini Uganda. K wa hivyo, utafiti huu ulifanya uchunguzi juu ya changamoto zinazowakumba wanafunzikatika vyuonchini Uganda. Utafiti huu ulifanywa katika eneo la Munispaa ya Kabale wilayani Kabale Kusini Magharibi Uganda. Chanagamoto zinazowak:umba wanafunzi katika vyuo zilichunguzwa kwa kuangalia jinsia, miaka pamoja kozi mbali mbali zinazoshughulikiwa na wanafunzi mbali mbali katika vyuo vilivyofanyiwa uchunguzi katika somo hili.Madhumuni ya uchunguzi huu yalikuwa Kutambua asili ya changamoto zinazokumba wanafunzi katika vyuo, Kuchunguza jinsia ya wanafunzi ambao wanakumbwa hasana changamoto hizo nchini Uganda pamoja na Kubainisha njia za kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo vya juu nchini Uganda kwa kulenga wilaya ya Kabale. Utafiti huu umeundwa na sura tano yaani sura ya kwanza, pili, tatu, nne na tano. Sura ya Kwanza imeshughulikia Utangulizi, Tatizo la utafiti, Malengo ya Utafiti, maswali ya utafiti Upeo wa utafiti, Umuhimu wa Utafiti na Changamotoza Utafiti.Sura ya Pili imeshughulikia Mapitio ya Kitaalama na ya yaliyoandikwa kuhusu changamoto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo nchini Uganda pamoja na ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.Imeelezea yaliyoandikwa kuhusu changamto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo vya juu, mifumo ya elimu, aina za teknolojia na dhima ya teknolojia. Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu za Utafiti.Imezungumzia Utangulizi, Eneo la Utafiti, Sampuli ya Utafiti na Usampulishaji, Ukusanyaji wa Data, Uchambuzi wa Data na Vifaa vya Utafiti.Sura ya Nne imeeleza juu ya Uwasilishaji na Uchambuzi wa data na hatimaye, sura ya tano ni muhtasari, matokeo muhimu, na mapendekezo ya ufiti huu.en-USAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Stateshttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ChangamotoZinazokumbaNafunziVyuJuuwilaKabaleUgandaChangamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda.Thesis