Kyomuhendo, Susan2025-01-172025-01-172024Kyomuhendo, Susan (2024). Uchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga. Kabale: Kabale University.http://hdl.handle.net/20.500.12493/2819Uchunguzi huu ulishughulikia mada ya “uchanganuzi linganishi wa nomino za kiswahili na zile za kinyankore kikiga”. Kulikuwa tafiti chache sana ambazo zilikuwa zimefanywa juu ya lugha ya kinyankore kikiga hasa katika uwanja wa nomino. Tena wanafunzi wa shule za upili hawakujua vitengo mbalimbali vinavyojenga maneno na pia aina tofauti za maneno katika lugha yao ya kwanza yaani kinyankore kikiga. Wanafunzi walihakikisha kuwa hawakuwa na vitabu vya kurejelea walipoambiwa kufanya uchunguzi huu na kwa hivyo, kulikuwa haja ya tafiti kama hizi kufanywa na baadaye vitabu kuandikwa kusaidia watu kuelewa na kujifuza lugha zao.enAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United Stateshttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Uchanganuzi LinganishiNominoKiswahiliZileKinyankore- KikigaUchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga.Thesis