Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’.

Loading...
Thumbnail Image
Date
2022
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kabale University
Abstract
Kudhihirisha ubunifu wa kazi za fasihi unaotokana na umilisi wa ujifunzaji wa fasihi bunilizi ya Kiswahili, Kuchangia idadi ya Tamthilia za Kiswahili ambazo zimeandikwa katika mazingira ya Uganda kwa ajili ya kukuza na kuendeleza ujifunzaji, ufundishaji na usomaji wa kazi za fasihi ya Kiswahili Uganda, Kueleza maswala ya kimaisha ya binadamu katika mazingira yake, changamoto na ukombozi wake wa kujenga maisha bora
Description
Keywords
Mradi, Kutunga, Tamthilia, Mama Mkwe
Citation
Tusasibwe, Bosco (2022). Mradi wa Kutunga Tamthilia ya "Mama Mkwe’’. Kabale: kabale University.