Ubabedume Katika Riwaya ya Rosa Mistika.

No Thumbnail Available

Date

2024

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kabale University

Abstract

Kuchunguza jinsi ubabedume unaojitokeza katika riwaya ya Rosa Mistika na athari zake. Malengo mahususi: Kubainisha ubabedume unaodhihirika katika riwaya ya Rosa Mistika, Kujadili athari za ubabedume katika riwaya ya Rosa Mistika

Description

Keywords

Ubabedume, Riwaya, Rosa Mistika

Citation

Akankwasa, Chris (2024). Ubabedume Katika Riwaya ya Rosa Mistika. Kabale: Kabale University.