KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO

dc.contributor.authorAIDAH, MUTENYO
dc.date.accessioned2020-11-17T12:38:37Z
dc.date.available2020-11-17T12:38:37Z
dc.date.issued2020
dc.description.abstractKilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;en_US
dc.description.sponsorshipKabale Universityen_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12493/455
dc.language.isoen_USen_US
dc.titleKISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMOen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO.pdf
Size:
359.08 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: