Mchan Go Wa Utenzi Wa Mw Anakupona Ka Tika Ukuzaji Na Uendelezaji Wa Lugha Ya Kiswahili Miongoni Mwa Vijana Wa Leo Nchini Uganda.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2023

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kabale University

Abstract

Utenzi wa mwanakupona ni utenzi ambao umekuwa unarejelewa na wasomi au hata na jamii nzima kwa haja ya kurekebisha nidhamu za kijamii au hata na utunzi wa ndoa za kawaida, Lugha ya kiswahili chini Uganda. Lengo kuu katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza mchango wa utenzi wa mwanakupona katika ukuzaji na uendelezaji wa lugha ya Kiswahili miongoni mwa VIJana wa leo nchini Uganda

Description

Keywords

Mchan, Wa Utenzi, Anakupona, Tika Ukuzaji, Uendelezaji, Lugha, Kiswahili Miongoni, Vijana, Uganda

Citation

Kobusingye, Eudia (2023). Mchan Go Wa Utenzi Wa Mw Anakupona Ka Tika Ukuzaji Na Uendelezaji Wa Lugha Ya Kiswahili Miongoni Mwa Vijana Wa Leo Nchini Uganda. Kabale: Kabale University.