Safiri Wa Pikipiki Unavyosawiri Ujifunzaji Wa Lugha Ya Kiswahili Nci-Uni Uganda.
Abstract
Kwa hali safiri wa pikipiki huonekana kuchangia sana katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili nchini gnda licha ya kuwa hakuna uchunguzi wowote ambao umeshafanywa ili kudhihirisha ukweli Kwa hivyo, utafiti huu unalenga kuchuriguza jinsi usafiri wa pikipiki unavyosawiri unzaji wa lugha ya Kiswahili nchini Uganda mintarafu wilayani Ibanda.
Description
Keywords
Safiri, Pikipiki Unavyosawiri, Ujifunzaji, Lugha, Kiswahili, Uganda
Citation
Turinawe, Alex (2023). Safiri Wa Pikipiki Unavyosawiri Ujifunzaji Wa Lugha Ya Kiswahili Nci-Uni Uganda. Kabale: Kabale University.