Kabale University Digital Repository (KAB-DR)
    • Login
    View Item 
    •   KAB-DR Home
    • Research Articles
    • Institute of Languages (INSTL)
    • View Item
    •   KAB-DR Home
    • Research Articles
    • Institute of Languages (INSTL)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO

    Thumbnail
    View/Open
    Main article (359.0Kb)
    Date
    2020
    Author
    AIDAH, MUTENYO
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. Baadhi ya watu hupata changamoto za kujieleza au kuelezea istilahi za kilimo ikiwazimeandikwa ama zimefafanuliwa kwa kimombo,jambo ambalo linakandamiza maendeleo.Pale ambapo mtu amewezeshwa kutumia Kiswahili inakuwa rahisi kwake.Kwa mfano mkulima mmoja wa nanasi kutoka Kayunga Uganda alipoulizwa jinsi amefaidika na uuzaji wake wa nanasi nchini Nairobi alikuwa na haya ya kusema;
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12493/455
    Collections
    • Institute of Languages (INSTL) [9]

    KAB-DR
    Contact Us | Send Feedback
    Kabale University
     

     

    Browse

    All of KAB-DRCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    KAB-DR
    Contact Us | Send Feedback
    Kabale University